Burudani

Video: Harmonize ameniliza, mwili ulipata ganzi – Ben Pol

Msanii wa RnB hapa Tanzania, Ben Pol amekiri kuwa baada ya kuona ujumbe wa Harmonize kushukuru kuwepo kwenye wimbo wao mpya wa “Why” mwili wake ulipata ganzi na kulia huku akiamini kuwa msanii huyo kutoka WCB Wasafi ni mkubwa hivyo anatarajia makubwa kwenye wimbo huo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents