Soka saa 24!

Video: Harmonize atua Polisi Central Sakata la dawa za kulevya, awatimua waandishi

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize Jumatano hii majira ya saa 8:30 asubuhi ameripoti Polisi Central jijini Dar es salaam kwaajili ya kuhojiwa kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya. Baada ya kufika eneo hilo muimbaji huyo alianza kuwatimua mbio waandishi ambao walijitokeza eneo hilo.

Muimbaji huyo ameitikia wito wa RC Makonda, ambapo alimtaka akifika nchini achunguzwe kuhusiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi baada ya kuonekana akivuta kitu chenye moshi mkubwa kinachodaiwa kuwa ni bangi.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW