Video: Harmonize wa BSS alikuwa mmbovu, alikuwa havumiliki kumsikiliza – Master J

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Master J ambaye pia ni jaji wa mashindano la Bongo Star Search, amefunguka kwa kuizungumzia video ya muimbaji Harmonize iliyokuwa ikisambaa mtandaoni akionekana kuimba wimbo ‘Maraika’.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW