Tupo Nawe

Video: Harmorapa amezaliwa kwa ajili ya kiki lakini siyo mwanamuziki mzuri – Mkaliwenu

Mkaliwenu amesema kuwa Harmorapa amezaliwa kwa ajili ya kiki lakini siyo mwanamuziki mzuri. Mchekeshaji huyo ameongeza kuwa ndio maana kwa sasa rapper huyo yupo kimya kwa kuwa hakuna kiki anazofanya.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW