Habari

Video: Hashim Rungwe atoa tamko kuhusu tukio la Mhe. Lissu

Mwenyekiti wa chama cha CHAUMA, Hashim Rungwe amesema kuwa kwa niaba ya Halmashauri Kuu ya Chama wamelaani sana tukio la kupigwa risasi mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu, wameiomba wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuchukua hatua na waliohusika na jambo hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents