Burudani ya Michezo Live

Video: Hatuwezi kutoa tamko leo, shows za wasanii na matamasha yaanze kufanyika (Video)

Mwenyekiti wa Bodi ya BASATA Bw. Habbi Gunze amesema baraza hilo haliwezi kutoa tamko leo la shughuli za sanaa kuanza mpaka tarehe 1 Jun itakapoyapitia mapendekezo yaliotolewa na wadau wa sanaa. Ameyasema hayo leo katika mkutano ulioandaliwa na Viongozi wa Baraza la Sanaa la Taifa, @basata.tanzania kujadili namna gani ya kufanya shughuli za Sanaa katika kipindi hiki ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha ugonjwa hatari wa Corona.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW