Habari

Video: Hatuwezi kuwaomba wahalifu kuacha uhalifu – Waziri Nchemba

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara yake haiwezi kuwaomba wahalifu kuacha uhalifu hilo ni jukumu lao, wao kama wizara kazi yao ni kupambana waache wenyewe. Video hii Waziri Mwigulu anaeleza.

Dkt. Nchemba ameyasema hayo wakati akiongea na waandishi mkoa wa Dodoma akitoa muelekeo wa wizara yake kwa mwaka mpya wa 2018 nini kama wizara wamejipanga kufanya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents