Michezo

Video: Hili ndio swali gumu Samatta kashindwa kumjibu Salim Kikeke

Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ambaye kwa hivi sasa anachezea klabu ya Genk ya Belgium akiendeleza maisha yake ya soka.

Alifanya mahojiano hivi karibuni na mtangazaji wa kitanzania Salim Kikeke anaefanya kazi katika shirika la utangazaji la BBC alisafiri kutoka jijini London England hadi Genk, Belgium.

rama-1-1

Haya ni mahojiano ya Samatta na mtangazaji wa BBC Salim Kikeke.

Kikeke:”sasa mwanangu nani anakupikia msosi”
Samatta: “Mimi napika mwenyewe naweza kupika wali maharage na tambi, tambi naweza kupika kwa sababu nimekulia maisha ya kaka mashemeji so nilikuwa naona wanavyopika hivyo tambi najua kupika vizuri”

“Huku sijawahi kuona unga wa ugali toka nimefika hivyo huwa napika wali maharage na tambi”
Kikeke: “ungeniambia ningekuletea unga kutoka London, kuna mtu anauliza Samatta unaoa lini”
Samatta:”hahahahah hilo swali gumu kidogo kujibuu”

Angalia hiyo video ya Mbwana Samatta na Salim Kikeke walivyokuwa wakifanya mahujiano

https://youtu.be/n1L8uda_8eA

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents