Burudani

Video: Hivi ndio “The Foreigner” aliyoigiza Jackie Chain itakavyokuwa

Imebakia miezi kadhaa kuifikia Oktaba 13 mwaka huu kuwashuhudia wakali wa kazi, Jackie Chain na Pierce Brosnan katika muvi nyingine iitwayo ‘The Foreigner’.

Muvi hiyo ambayo inaelezea mfanyabiasha anayeishi Uingireza (Jackie Chain) ambaye amepoteza mali zake nyingi na kama haitoshi pia anampoteza binti yake ambaye ndiyo familia pekee aliebaki nayo. Tukio la kumpoteza binti yake katika mlipuko uliotokea unahusishwa na mambo ya kisiasa.

Baba wa binti huyo anaamua kuingia mtaani na kuamua kutaka kulipiza kisasi kwa waliohusika na mlipuko wa bomu hilo liliopoteza maisha ya binti yake, pia anaamua kutafuta majina ya waliohusika ambapo inamlazimu kufika hadi katika serikali ya nchi hiyo ambapo anakutana na boss wa hapo Pierce Brosnan

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents