Videos

Video: Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye show ya Amini na Linah Maisha Club

Jumapili iliyopita Amini na Linah walikuwa na show maalum walioipa jina la Usiku wa Mtima Wange kwenye club ya usiku ya New Maisha. Siku hiyo pia ilikuwa ni birthday ya Linah. Enjoy video za show hiyo.

Hapa Amini akiimba wimbo ambao alitunga kwa ajili ya Linah

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents