Burudani
Video: Hizi ndio ngoma anazopenda Lil Ommy
Mtangazaji wa kipindi cha The Playlist ya Times Fm, Omari Tabwe maarufu kama lil Ommy amebainisha kuwa kama mtangazaji ila kuna nyimbo za wasanii anazikubali.
Akiongea na Bongo5, Lil Ommy amesema kuwa yeye anapenda ngoma zote Tu Pac na za Wizkid kutoka nchini Nigeria.
“Aaah ukiniambia nikutajie ngoma zangu tano basi nitakutajia ngoma zote za Tu Pac na za Wizkid, mimi namuelewa sana Tu Pac na muelewa Wizkid,” amesema Lil Ommy.