BurudaniUncategorized

Video: Hutaamini anachokizungumza Sister Fey kuhusu maisha yake!

Msanii wa muziki, Sister Fey amefunguka kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu maisha yake hasa hasa posti zake za mapenzi ambazo amekuwa akiziachia mitandaoni. Muimbaji huyo ambaye hivi karibuni ameachia wimbo mpya, Mashallah, amedai yote anayoyafanya anaishi maisha yake na sio kutafuta kitu chochote kama baadhi ya watu wanavyodai.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents