Videos

Video: Huu ndio wimbo maalumu wa maombolezo kwa mtangazaji wa EFM

Video ya wimbo rasmi wa maombolezo ya kifo cha aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha habari cha EFM, Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma imetoka. Wimbo huo umeimbwa na Baghdad, Jo Gift, Dream na umetayarishwa na producer Sendo wakati video yake ikiongozwa na Raj Dizzo.

https://youtu.be/3poFARoRkM4

Marehemu anatarajiwa kuagwa Jumatano ya leo katika viwanja vya Leaders Club kuanzia majira ya saa nne asubuhi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents