Michezo
Video: Huu ndiyo mfumo mpya wa TFF kwa klabu zote nchini
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF limetangaza mfumo mpya utakao tumika kwa vilabu vyote katika kusajili wachezaji ambao unajulikana kama (TFF FIFA Connect).