Michezo
Video: “Huu ni mkakati umepangwa” Michael Wambura
Makamu wa rais wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Michael Richard Wambura amesema kuwa tatizo ni umakamu wake wa rais, mwenyekiti wa kamati ya fedha, ajira za TFF na fedha za shirikisho hilo ndicho kinachomponza.