Burudani

Video: Huyu ndio msanii chipukizi wa RnB Bongo anayetishia nafasi ya Ben Pol, Belle 9 na Jux

Banye Loverance ni msanii mpya wa RnB Bongo ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake mpya ‘Brown Colour’ ambao umeonekana kufanya vizuri kwenye vyombo mbalimbali vya habari. Msanii huyu amewahi kushiriki mashindano ya Maisha Super Star nchini Kenya Ambayo kwa Bongo yalikuwa yanasimamiwa na AY na Shaa, pia ameshiriki katika mashindano ya Tecno Own The Stage, Nigeria akiwa na Nandy. Tazama video ya interview yake akiongea na Bongo5 hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents