Burudani

Video: Huyu ndio mtoto mwingine wa Faiza Ally

By  | 

Baada ya kupost picha maalum zake za ujauzito kufanya watu wamsakame, hatimaye mwanamitandao Faiza Ally amefanikiwa kupata mtoto wake wa pili.

Faiza ambaye awali alizaa mtoto wa kwanza na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maaraufu kama Sugu ameweza kuongeza mtoto mwingine wa kiumea hata hivyo jina la mtoto huyo halijawekwa bayana pamoja na baba yake.

Kupitia mtandao wa Instagram Faiza ameweka video fupi ya mtoto huyo akiwa hospitalini, na kuandika “ALHAMDULILLAH ?? @lijunior_ well come to the world baby ?.”

Faiza amekuwa moja ya wanawake maarufu waliobahatika kupata mtoto ambapo tumeona mtu kama Millen Magessa na Linah Sanga.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments