DStv Inogilee!

Video: Ibrahim Ajibu afunga goli kali ambalo anaweza kopea mkopo benki!

Jumapili hii klabu ya Yanga ilikutana na Mbao na kuibuka na ushindi wa magoli mawili. Lakini kitu ambacho ni gumzo kwa sasa ni goli ambalo amefungua Ibrahim Ajibu kutokana na mazingira ambayo alikuwa amekaa.

Goli la pili la Yanga vs Mbao fc

#TanzaniaPremierLeague Ibrahim Ajibu 'Kadabra' ajibu 'tikitaka' ya Zlatan Ibrahimovic 'Kadabra' akiifungia Yanga bao la pili. Kwa mujibu a Baraka Mpenja, hili ndilo bao bora la msimu huu hadi sasa. Je, wewe unasemaje?FT: Yanga SC 2-0 Mbao FC. #AzamSports2 #AzamTVApp #SisiNiSoka #LigiKuuTanzaniaBara #YangaVsMbao #YangaSC #MbaFC

Posted by Azam TV on Sunday, October 7, 2018

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW