Bongo5 ExclusivesMahojianoVideos
Video: Interview na msanii wa Tanzania aishiye Australia Desert Eagle
Tazama interview ya Bongo5 na msanii wa Tanzanua aishiye nchini Australia, Desert Eagle. Mpaka sasa msanii huyo ameachia single tatu ambapo ya kwanza alimshirikisha Diamond Platnumz, Every Day. Kwa sasa amerejea nchini kimuziki. Kabla hajaondoka anategemea tena kuingia katika Mazuu Records kufanya kazi mpya.