Msanii wa muziki wa bongo fleva Ismailiano ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu huu ndio ujuo wake mpya ametuletea hii video yake mpya wimbo unaitwa “Sauda”, Ismailiano aliwahi kuwa B Band na kwa Mrisho Mpoto. Video imeongozwa na Kwetu Studio, tazama hapa chini.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
New Video: Jamwe He Ft Chege -NadoJanuary 17, 2018 - 12:44 am
-
Video: Ivrah – TusheherekeeDecember 25, 2017 - 5:01 pm