Videos
Video: J.Cole akizungumzia jinsi alivyokuwa akiwapenda (kimapenzi) Alicia Keys na Mariah Carey
Rapper wa Roc Nation J. Cole anaweza kuwa kwenye uhusiano sasa hivi lakini hivi karibuni amezungumza na kuweka wazi jinsi alivyokuwa akiwazimia Alicia Keys na Mariah Carey.