AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Video: J.Lo afanya cover ya Teenage Fever ya Drake kwenye TIME 100 Gala

Maka jana Drake alisample wimbo ya Jennifer Lopez’s ‘If You Had My Love’ kwenye ngoma yake ya Teenage Fever ambayo pia inapatikana kwenye albamu yake ya More Life iliyotoka March 17, 2017.

Jumanne hii J.Lo amefanya kitu kikubwa wakati akitumbuiza kwenye tamasha la TIME 100 Gala 2018 kwa kufanya cover ya ngoma zote hzo mbili kwa pamoja.

Miongoni mwa mistari ambayo Lopez aliimba kutoka kwenye Teenage Fever ya Drake ni, “Last night we didn’t say it, boy, but we both thought it.”

Mwishoni mwa mwaka 2016 zilianza kuvuma tetesi za wawili hao kuwa na mahusiano baada ya Drake kuonekana kwenye show mbili za J.Lo jijini Las Vegas na kupiga picha zenye ukaribu zaidi. Tukio hilo pia lilimfanyamrembo Rihanna kudaiwa kum-unfollow Jennifer kwenye Instagram.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW