Video: Jabu The Great – Maringo

Msanii wa muziki, Jabu M Maliamungu ‘Jabu The Great’ baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo wake, My Women. Wiki hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwa ‘Maringo’. Video imeandaliwa na director Maji ya Vuguto.

Muimbaji huyo ambaye ni raia wa Congo huku mama yake akiwa na asili ya Tanzania, amesema kabla ya kuanza kuachia project zake binafsi alikuwa chini ya bendi ya ‘The Upendo Crew’.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW