Videos
Video: Jamal f/ Chidi Benz – Only U
Mtayarishaji wa vipindi kutoka EATV, Jamal ambaye pia ni msanii wa muziki ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Only U’ ambao amemshirikisha rapper Chidi Benz. Wimbo umetayarishwa na K-Zoo The Finest na video imeongozwa na Ivan.