Video: Jay Z apigwa na shemeji yake ndani ya lifti!!

Angalia video ya mdogo wake Beyonce, Solange, akimshambulia Jay Z ndani ya lifti wiki iliyopita wakiwa wanatoka kwenye after party jijini New York. Sababu za Solange kumpiga makofi na mateke Jay Z bado hazijajulikana.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW