Video: Jaymond aliacha kushabikia soka kisa Arsenal “sitaki kupata presha”

Mchekeshaji ambaye kwa sasa anafanya vizuri kipitia mitandao ya kijamii, Jaymond amefunguka kuzungumzia maumivu makali aliyoyapata pindi anashabikia klabu ya Arsenal ambayo imemfanya kwa sasa aogope kabisa masuala ya soka. Hali hiyo imemfanya mchekeshaji huyo kushindwa kabisa kufuatialia kombe la dunia linaloendelea huko Russia.

Pakua aplikesheni ya iflix sasa! Bofya go.iflix.com/play .

Chagua Vodacom yenye Kifurushi maalum kwa ajili yako. Furahia sasa.

Piga *149*01#

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW