Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Video: Jeshi la polisi laeleza kuhusu Meja Jen. Mstaafu Mritaba aliyeshambuliwa na silaha

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kupitia Kamanda wake, Lazaro Mambosasa amezungumzia kuhusu tukio la Meja Jen. Mstaafu Vincent Mritaba, aliyeshambuliwa na risasi akiwa anaingia nyumbani kwake Ununio jijini Dar es salaam. Tazama video hiyo hapo chini Kamanda Mambosasa akiongea hayo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW