Videos

Video: Jinsi muimbaji mwenye kigugumizi alivyowakosha majaji wa American Idol 2013

http://www.youtube.com/watch?v=lLdg9FMp7f8

Mkazi wa Florida, Marekani Lazaro Arbos amekuwa na kigugumizi tangu alipokuwa na miaka sita. Hapa anajaribu bahati yake kwenye shindano la American Idol na licha ya kuwa na kigugumizi kikali anawaacha hoi majaji wa shindano hilo wakiwemo Nicki Minaj na Mariah Carey kwa sauti tamu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents