Burudani

Video: JK alivyowavunja mbavu wanafunzi na walimu Zanzibar mbele ya RC Ayoub

Ijumaa iliyopita mchekeshaji JK alikuwa ni mmoja ya wageni waalikwa katika sherehe za ugawaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani kitaifa uliofanywa na taasisi ya Green Light Foundation, iliyopo kisiwani Zanzibar kupitia kwa Mwenyekiti wake Salim Omari Musa, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Ayoub Mahmoud. JK alikuwa ni kivutio kikubwa katika sherehe hizo baada a kutoa show kali iliyowafurahisha watu wote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents