Picha

Video: Joka kubwa (Anaconda) lenye futi 33 lanaswa Brazil

Joka kubwa lenye urefu wa futi 33 limegundulika kwenye eneo la ujenzi huko kaskazini mwa Brazil.

38c4070300000578-3806020-image-m-78_1474790201277

Joka hilo lenye uzito wa kilo 400 lilipatikana baada ya wajenzi kulipia baruti katika pango lililopo Altamira, Pará.

https://www.youtube.com/watch?v=WAvd4RKWgac

Video inayoonesha nyoka huyo aina ya anaconda akiwa amefungwa cheni na kunyanyuli kwa winchi imewekwa mtandaoni. Haijulikani kama nyoka huyo aliuawa.

38c5efb400000578-3806020-image-a-23_1474792784122

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents