Burudani

Video: Justin Bieber na Selena Gomez wa-kiss backstage katika Billboard Music Awards

Kati ya couples ambazo zilikuwa zinasubiriwa kwa hamu kama watahudhuria show ya tuzo za Billboard jana (May 19) ni pamoja na muimbaji Justin Bieber (19) na Selena Gomes (20) ambao ni wapenzi wa on/off kwa muda mrefu.

Macho ya wengi wakiwemo ma-paparazzi waliokuwa wame-set camera zao on katika blue carpet ya event hiyo, mwanzo waliambulia patupu sababu wapenzi hao wenye umri mdogo hawakupita pamoja katika blue carpet kama wengi walivyotarajia, wengine walitegemea wangekaa seat za pamoja ukumbini hapo ambao nao waliambulia patupu sababu kila mmoja alikaa kivyake, na kikubwa kingine watu walitegemea wangetumbuiza pamoja lakini haikuwa hivyo pia.

Cha kushangaza pamoja na kukwepa kuonekana pamoja uvumilivu uliwashinda Gomez na Bieber. Baada ya kukutana backstage baada ya show, hisia zao zilikuwa hadharani baada kujikuta waki kiss mbele ya camera za ma-paparazi.

So, was it just a friend kiss au ndio wamerudiana rasmi? itazame video hiyo juu kisha tuambie unachofikiria.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents