Burudani

Video: Justin Timberlake akimdiss Kanye West

Baada ya hivi karibuni Kanye West kudai kuwa haupendi wimbo wa Justin Timberlake ‘Suit & Tie’ JT amemjibu rapper huyo wakati akitumbuiza kwenye show ya “Saturday Night Live” kwa kubadilisha mashairi ya wimbo huyo yasemayo “And aww, sh** so sick, got a hit and picked up a habit” na kusema “My hits so sick got rappers acting dramatic”. Tazama video hiyo hapa na jinsi TMZ walivyoichambua.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents