Burudani

Video: Kanye West atunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa sanaa

Kanye West sasa ni Dr. Kanye West! Rapper na producer huyo ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa sanaa kutoka chuo cha sanaa cha Chicago Jumatatu hii.

kanye-doctorate

Akiwa amevaa joho jeusi na kofia, rapper huyo anayetokea Chicago, alipokea heshima hiyo kwa kuanza na kutoa chupa za maji zilizokuwa kwenye podium.

Mke wake Kim Kardashian hakuacha kumpongeza mumewe kwenye Instagram: Dr. Kanye West!!!!!!! I’m so proud of you baby & I know your mom would be so proud too!!!!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents