Muziki
Video: Kassim Mganga – Solemba
Msanii wa muziki Kassim Mganga aka Gwiji Ijumaa hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao, Solemba. Wimbo huo ni mmoja kati ya vyimbo tatu kutoka kwenye project yake Tripple S.