Burudani

Video: Kesi ya Wema Sepetu yapigwa kalenda tena

Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefika Mahakama ya Kisutu leo kwaajili ya kesi yake inayomkabili ya kutumia dawa za kulevya. Ambapo Wakili wa serikali amesema kuwa kesi hiyo imeitishwa kutokana na kuendelea kwa ushahidi, Jaji amesema kutokana na muda kuwa mchache kesi hiyo inahairishwa mpaka Novemba 24 mwaka huu.Tazama video hii:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents