Aisee DSTV!

Video: ‘Kikuku’ wanavaa wamasai – G Nako

Video: 'Kikuku' wanavaa wamasai - G Nako

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo kutoka kundi la Weusi, G Nako ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya wa Nyatu Nyatu amesema kuwa tozo ya milioni tano ni kiasi kikubwa sana huku akizungumzia ‘style’ ya Kikuku kuwa imekuwa ikitumika hata kwa watu jamii ya wamasai.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW