Burudani

Video: Kim Kardashian ajibu mapigo ya Beyonce

Baada ya siku chache Beyonce kuonyesha amevaa raba aina ya puma zilizo na jina la albamu ya 4:44 ya mumewe Jay Z, hatimaye Kim Karadshian ameamua kujibu mnapigo ya Mrs Carter kwa uonyesha muonekano mpya wa raba za Yeezy za rapper Kanye West.

Raba hizo aina ya Adidas zinatarajiwa kutoka wakati wowote, uwepo wa raba hizo unalinganishwa na kuwa bado kuna mgogoro kati ya Kanye na Jay Z ambao awali walikuwa marafiki ila tangu kutoka kwa albamu ya 4:44 mwezi Juni mwaka huu na ikasemekana katika moja ya ngoma zilizopo kwenye albamu hiyo ilikuwa iki mdiss rapper Kanye West.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents