Uncategorized

Video: Kocha wa JS Saoura amzungumzia Patrick Aussems ‘Ni rafiki yangu, kocha bora Tanzania’

Kocha Mkuu wa klabu ya JS Saoura, Nabil Neghiz amesema kuwa anatarajia kuona mchezo mzuri dhidi ya Simba hapo kesho huku akiongeza kuwa Patrick Aussems ni rafiki yake na kocha bora Tanzania.

“Tunatarajia kuona mchezo mzuri dhidi ya Simba Insha Allah. Kocha Patrick Aussems ni rafiki yangu na ni kocha bora Tanzania,” amesema kocha huyo wa JS Saoura, Nabil Neghiz raia wa Algeria mara baada ya kutua uwanja wa ndege wa JK Nyerere.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents