Michezo
Video: Kocha wa St Lous anena mazito mbele ya Yanga SC
Tupo hapa kwaajili ya kucheza mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi Yanga SC na tunahitaji kupata matokeo mazuri. Hatuna presha ila hatuna habari za kutosha kuhusu Yanga ila tunaamini ni timu nzuri.