Habari

VIDEO: Kuanzia sasa bei ya korosho ni tsh 3,300/= kwa kilo, msiponunua tutazila wenyewe – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 12 ametangaza bei mpya elekezi ya korosho ambapo amesema kuwa itanunuliwa kwa Tsh 3,300/= kwa kilo.

Rais Magufuli ameyasema hayo Ikulu Jijini Dar Es Salaam ambapo ameyakataa makampuni 13 yaliyojitokeza kununua Korosho, kwa madai kuwa nayo huenda yakaleta longo longo mwishoni.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents