Videos

Video: Kutana na hitmaker wa Dear Gambe – Young Killa

Erick Thomas Msodoki aka Young Killa ni rapper chipukizi kutoka Mwanza ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake Dear Gambe aliyomshirikisha Belle 9. Umri wake hauendani na uwezo wake mkubwa wa uandishi wa mashairi hali iliyopelekea kuwa kivutio cha wengi kwenye ziara ya Fiesta mwaka jana chini ya mradi wa Super Nyota. Kwa sasa yupo chini ya uangalizi/usimamizi wa Classic Sounds ya producer Mona G. Mfahamu zaidi kwa kutazama video hii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents