Videos

Video: Kutana na mwanachuo wa IFM aliyetengeneza mchezo wa Bao wa kompyuta

Hussein Mkwazu ni mwanachuo wa mwaka wa mwisho katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM anayechukua kozi ya Computer Science. Yeye na wenzake wametengeneza application iitwayo Bao Game ambayo ni sawa na mchezo maarufu wa Bao lakini katika mfumo wa kompyuta. Mtazame hapa akiuelezea zaidi mchezo huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents