Burudani
Video: Lamar akiwaongelea Shosteez, Diva na kazi zao mpya
Hivi karibuni tumepiga story na producer wa Fishcrub, Lamar kuhusu kundi lake la akinadada watatu, Shosteez na pia kuhusu mtangazaji wa Clouds FM, Diva. Tazama video hii umsikie alivyosema.