Habari

Video: Lil Wayne na Birdman wafanyiana fujo klabu

Lil Wayne na Birdman wameripotiwa kufanyiana fujo kwenye kiota cha Club Liv cha jijini Miami juzi Jumapili zilizopelekea kufungwa.

https://www.youtube.com/watch?v=VShStuQuhVs

Kila mmoja na wapambe wao walikuwa kwenye klabu hiyo kumuunga mkono Jim Jones aliyekuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na fujo ilianza baada ya Weezy kupanda kutumbuiza.

Kwa mujibu wa watu walioshuhudia Birdman alitupa kinywaji kwa Wayne wakati alipokuwa jukwaani. Inadaiwa kuwa wapambe wa Birdman nao walianza kumrushia chupa Lil Wayne.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents