Burudani

Video: Lugha ya kingereza yamuumbua Shilole ‘my husband she’s calling me!’

Shilole bado anaendelea kujifunza kuongea kingereza, wiki hii alibambwa na Bongo5 wakati anatamka neno subscribe ambapo alirudia zaidi ya mara kumi lakini akashindwa kulitamka. Muimbaji huyo alisema hayo baada ya kuzungumza na mtandao huu juu ya ujio wake mpya kwenye muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents