Videos

Video: Rais Magufuli aaigiza trafiki aliyetukanwa na mke waziri akiwa kazini apandishwe cheo

Askari wa usalama barabarani aliyeambuliwa matusi ya kumwaga kutoka kwa mke wa mmoja wa mawaziri nchini wakati akitekeleza majukumu yake amekula shavu.

https://www.youtube.com/watch?v=2yFSE1baMKM

Ni kwasababu Rais Dkt John Pombe Magufuli amemuagiza kamanda wa polisi, IGP Ernest Mangu kumpandisha cheo mara moja.

Ametoa agizo hilo wakati akifungua kikao cha Makamanda wa Polisi wa Mikoa. Pia Magufuli amedai kuwa amemuonya waziri huyo pamoja na mke wake.

“Huyo trafiki anajua kazi, na huyo waziri na mke wake nimeshamuambia,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents