DStv Inogilee!

Video: Majonzi na vilio vyatawala tukio la kumuaga Producer Pancho Latino!

Mastaa na wadau wa sanaa wamejitokeza kuaga mwili wa marehemu Pancho aliyefariki siku mbili zilizopita kwa ajali ya maji huko Mbudya jijini Dar es salaam. Baada ya ibada hii mwili utasafirishwa nyumbani kwao Gairo kwaajili ya mazishi siku ya kesho.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW