Videos

Video: Makahaba wa Kenya waadhimisha siku ya makahaba duniani kwa kudai haki zao

17 December mwaka huu ilikuwa ni siku wa makahaba duniani ambayo makahaba wa Kenya waliitumia kujumuika na makahaba wengine duniani kusherehekea siku hiyo pamoja na kudai haki zao kwa serikali ya kenya.

Makahaba hao waliandana na mabango katika mitaa ya jiji la Nairobi, Kenya kuitaka serikali kuwapa uhuru wa kufanya biashara hiyo bila usumbufu.

Source: KTN

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents