DStv Inogilee!

Video: Makomando wafunguka ishu ya ku-‘shoot’ video nje

Kundi la Muziki la Makomandoo, wanaohit na ngoma ya ‘Anaona Gere’  wamefunguka  juu ya wasanii wa kibongo kwenda kushoot video nje ya nchi huku wakidai kwa kufanya hivyo inasaidia kukuza muziki wa Bongo na inatengeneza connection na wasanii wengine.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW