Tupo Nawe

Video: Makubaliano kati ya Wasafi Festival na Alikiba yameenda vizuri – Mkubwa Fella

Alhamisi hii Bongo5 imefanya exclusive interview na mmoja kati ya wakurugenzi wa WCB, Mkubwa Fella na kuzungumzia makubaliano ya kimkataba kati ya Alikiba na Wasafi Festival. Fella amesema mpaka sasa mpango wa muimbaji huyo wa RockStar 4000 kutaka kulidhamini tamasha hilo umeenda vizuri na tayari ameshafikia baadhi ya makubaliano.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW